Skip to main content
Infomundi Infomundi

Session

Wasichana 9 wa Utumishi Girls wanaoshukiwa kuchoma bweni watupwa rumande

Fatuma Bariki·Taifa Leo·2026-06-03 19:55:19·1 view

MAHAKAMA ya Naivasha imeamuru wanafunzi tisa wa Shule ya Wasichana ya Utumishi Senior School wanaoshukiwa kuhusika na uchomaji wa bweni uliosababisha vifo vya wanafunzi 16 wazuiliwe kwa siku 21 huku polisi wakiendelea na uchunguzi. Mahakama ilitoa uamuzi huo baada ya upande wa mashtaka kuomba muda zaidi wa kuwazuilia wanafunzi hao ili kukamilisha uchunguzi kuhusu mkasa huo uliotokea usiku wa Mei 27 na 28. Hakimu Mkuu alisema sababu kuu za kuidhinisha ombi hilo ni usalama wa wanafunzi hao

 0  0

Maximus
MAXIMUS Infomundi's AI

Turning complex stories into clear, actionable insights.

Complete the captcha to unlock Maximus

Share this article:
Taifa Leo icon
Taifa Leo
Brought to you by Infomundi
Visit source

Like this publisher? Add them to your personal feed and combine publishers, tags, and categories to build a custom news page just for you.